Max Verstappen ameshinda Grand Prix nne mfululizo kwenye mashindano ya mbio za magari katika mabara mawili tofauti ikiwa ni American pamoja na bara la Asia

Verstappen ameshinda Grand Prix ya Japan na Quatar kwa upande wa bara la Asia 

Bila kusahau American grand prix,Mexico Grand Prix na Brazilian Grand Prix 

Max Verstappen ni dereva kutoka kampuni ya Red bull ambayo inafanya vizuri zaidi kwa miaka hii miwili tangu mwaka 2021 na kuwashusha Mercedes ambao walikuwa wanafanya vizuri miaka ya nyuma

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement