MamelodiSundowns ya Afrika Kusini imebeba ubingwa wa The African Football League 2023 kwa kuitandika Wydad Casablanca ya Morroco magoli 2-0 katika Fainali ya Pili

Kutokana na matokeo hayo, Mamelodi imeshinda kwa jumla ya Magoli 3-2 kwa kuwa katika Fainali ya Kwanza WydadAC ilishinda 2-1

Michuano hiyo iliyofanyika kwa mara ya kwanza ilishirikisha timu 8 ikiwemo Simba ya Tanzania

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement