Lionel Messi Ametwaa Tuzo ya 8 ya Ballon Dor Usiku wa Leo na Kumfanya Kuwa Mchezaji Pekee kwenye rekodi ya Kuwa na Ballon D’Or nyingi zaidi Katika Historia ya Soka
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.