Ligi Ya Saudi Arabia Ni Bora Kuliko Ligi Ya Ufaransa
Mchezaji wa kimataifa Brazil anayehudumu katika klabu ya Al Hilal Neymar Jr anaamini ligi ya Saudi Arabia ineendelea kukua kwa kasi na kuzidi kua bora zaidi.
Neymar Jr 🗣
"Ligi kuu ya Saudi Arabia tayari imekua na mvuto zaidi na ninaweza kusema tayari imekua bora kuliko ligi kuu ya Nchini Ufaransa "Ligue 1".
"Majina ya wachezaji wakubwa yote yapo Saudi Arabia na ninafikiri ligi hii itakua bora zaidi ya ligi kuu ya Ufaransa "Ligue 1".