Kylian Mbappé ameifungia Ufaransa bao kwenye ushindi wa 3-0 wa Ufaransa dhidi ya Luxembourg. Mchezo huo umemshuhudia N'Golo Kanté akirejea kwenye kikosi cha Ufaransa baada ya miaka miwili.

FT: France 🇫🇷 3-0 🇱🇺 Luxembourg

⚽ Muani 42'

⚽ Clauss 70'

⚽ Mbappe 86'

Bao alilofunga Mbappé ni mahsusi kwa mjomba wake ambaye amefariki hivi karibuni anayefahamika kwa jina la Alex.

MATOKEO MENGINE MECHI ZA KIRAFIKI

FT. 🇸🇮Slovakia 4-0 San Marino🇸🇲

FT. 🇩🇰Denmark 2-1 Sweden🇸🇪

FT. 🇳🇴Norway 3-0 Kosovo🇽🇰

FT. 🇧🇪Belgium 2-0 Montenegro🇲🇪

FT. 🇪🇸 Spain 5-0 Andorra 🇦🇩

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement