Euro 2028 itafanyika nchini Uingereza na Jamhuri ya Ireland Ikifanyika kwenye mji wa Belfast, Birmingham, Cardiff, Dublin, Glasgow, Liverpool, London (x2) Manchester na Newcastle.

Euro 2032 itafanyika nchini Italia na uturuki, waandaji wenza wa hafla hiyo.

Wazabuni waliwasilisha viwanja 20 vinavyoweza kuwa mwenyeji, ambapo 10 vitachaguliwa, vitano kwa kila nchi, ifikapo Oktoba 2026.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement