Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake la mwaka 2035, zinatarajiwa kufanyika ndani ya mataifa manne ya UK, ambao ndio vinara mpaka sasa kati ya wengine walioomba. 


Mapema Machi mwaka huu, klabu hiyo ilitangaza kuanza tathimini ya ujenzi wa uwanja wa kisasa pembezoni mwa Old Trafford, wenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 2 . Mchakato wa ujenzi wa uwanja huo unatarajiwa kuchukua miaka mitano mpaka sita. 


Mpaka wakati huu mashirikisho ya mataifa manne yanasuka mpango kazi wa kuishawishi FIFA ili waweza kushinda tenda hiyo.

Endelea kupata Taarifa na Burudani zote za michezo  #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)


#Tv3Tanzania #GameOn


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement