Kocha Mkuu Wa Germany Hans Flick Atupiwa Virago
Shirikisho la Soka la Nchini Germany limemtupia virago aliyekuwa kocha wao mkuu Hans Flick.
Hii ni kutokana na timu hiyo ya taifa ya Germany kutokua na mwenendo mzuri wa kupata matokeo
Germany imetoka kupoteza kw amazon 4-1 mbele ya tinu ya Taigmfa ya Japan katika mechi ya Kimataifa ya Kirafiki.
Hans Flick alianza kuinoa timu ya taifa ya Germany mwaka 2021 na Leo rasmi ametupiwa virago.