baada ya kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii kuhusiana na vita Kati ya Israel na Gaza (Palestina), Mchezaji huyo wa zamani wa Aston Villa na Everton,

El Ghazi alitumia ukurasa wake wa wa Twitter kufafanua chapisho lake la awali,

ambalo limefutwa, akisema kwamba anaunga mkono "amani kuliko chochote kile"

akitoa wito wa "huruma kutumika" akiuhitaji umma kutambua umuhimu wa

"kuongeza ufahamu juu ya historia ya mzozo huo, Mtata hivyo mchezaji huyo amesimamishwa kufanya mazoezi pamoja na

kuondolewa kikosini kwani msimamo aliochukua juu ya vita hivyo "haukubaliki" na klabu hiyo ya mainz.

Klabu imepanga kukutana na mchezaji huyo wiki chache zijazo ili kuamua hatua zinazofuata. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement