Brighton & Hove Albion ineanza vizuri msimu huu na mpaka sasa kwenye ligi kuu ya England tayari imekusanya jumla ya alama 16 katika mechi zake 6 amabazo wamecheza na wapo katika nafasi ya 6.

Brighton & Hove Albion ndiyo timu pekee ambayo imefunga magoli mengi zaidi mpaka sasa kwenye ligi kuu ya England "EPL"

Mpaka sasa Brighton & Hove Albion wamefunga jumla ya magoli 21

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement