KAZUYOSHI MIURA ASAINI KANDARASI MPYA
Miyura Kazuyoshi "King Kazu" ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi ambaye anacheza soka mpaka sasa na anahudumu katika klabu ya UD Oliveirense ya Portugal.
Kazuyoshi Miyura kwa sasa ana umri wa miaka 56 na amesaini kandarasi mpya ya mwaka 1 ambayo ya kuendelea kuhudumu katika klabu ya UD Oliveirense.
Kandarasi yake mpya itatamatika akiwa na umri wa miaka 57.