Mchezaji wa Klabu ya Real Madrid Jude Bellingham Ametwaa tuzo ya Kopa Trophy 2023 Mchezaji bora Duniani chini ya umri wa miaka 21
Tuzo Hii amepatiwa kwenye Usiku wa Tuzo ya Ballon D’Or
Kocha wa Crystal Palace, Oliver Glasner, anapanga mipango ya muda mrefu na klabu licha ya mkataba wake wa sasa kumalizika majira ya kiangazi yajayo.
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.