John Stones Atakua Nje ya Uwanja Akiuguza Majeraha
Uongozi wa klabu ya Manchester City umethibitisha kumuondoa kikosini beki wao John Stonnes baada ya kupata majeraha ya misuli.
Madaktari wa Manchester City wamethibitisha kuwa beki huyo atarudi kikosini baada ya mapumziko kwa wachezaji kupisha mechi za kimataifa "International Break"
Pep Guadiola pia amethibitisha kuwa kiungo wake fundi raia wa Belgium Kelvin De Bruyne atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi 4 mpaka 5 akiuguza majeraha.