Mchezaji wa Tennis kutoka kutoka Poland Iga Swiatek amerudi nafasi ya kwanza kwa rank za ATP kwa upande wa wanawake baada ya kufanya kufanya vizuri kwenye WTA tour.

Kwenye tour alifanikiwa kumshinda Aryna Sabalenka ambaye alikuwa anashika nafasi ya kwanza kwenye tennis duniani kwa upande wa wanawake.

Swiatek amefikisha jumla ya points 9,295 ikiwa ni mara ya kwanza kwa kushinda fainali ya WTA TOUR.

Iga Swiatek sio mara yake ya kwanza kushika nafasi ya kwanza kwani aliwahi kufanya hivyo 4 April mwaka 2022 na sasa amerujea nafasi ya kwanza kwanzia 6 November mwaka 2023.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement