Erling Haaland ametwaa tuzo ya Gerd Muller Trophy 2023 baada ya kufunga magoli mengi kuliko mchezaji yoyote yule mwingine kwa kufikisha jumla ya magoli 56 kutoka Klabu na Timu yake ya Taifa
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.