Golikipa wa klabu ya Paris Saint-Germain anayehudumu kwa mkopo katika klabu ya Nottingham Forest Keylor Navas anaamini magolikipa wanatakiwa watenganishwe na wachezaji wengine kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia "Ballon D'or ". 


Keylor Navas 🗣

"Nafikiri magolikipa wanatakiwa watenganishwe kwenye tuzo za mchezaji bora wa Dunia "Ballon d'Or " na wachezaji wengine". 


"Kwa mfumo huu golikipa anakua na nafasi ndogo sana ya kushinda tuzo ya Ballon Dor kwa sababu wengi wanahesabu zaidi magoli ambayo wachezaji wanafunga pamoja na kutoa  Assist lakini hawajali kuhusu saves ambazo magoli kipa tunafanya". 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement