Gianluigi Buffon Aingia Kwenye Historia Mpya Ya Soka
Gianluigi Buffon alifanikiwa kunyakua kombe la Coppa italia na mchezaji Enrico Chiesa katika klabu ya Parma.
Miaka 22 baadae Gianluigi Buffon alifanikiwa kunyakua taji la Coppa Italia na kwenye kikosi alicheza na mtoto wa Enrico Chiesa anayefahamika kwa jina la Federico Chiesa.