Imethibitishwa kwamba ingawa ahueni ya Frenkie de Jong inaendelea, Lakini huenda akakosa mchezo dhidi ya Real Madrid kwenye El Classico.

Kiungo huyo wa zamani wa Ajax ameumia tangu Septemba 23 alipopiga mkwaju dhidi ya Celta Vigo. Siku moja tu baadaye, timu ilithibitisha kwamba baada ya vipimo muhimu, kiungo huyo aligunduliwa na 'tibiofibular syndesmosis katika kifundo cha mguu wake wa kulia.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement