Mechi ya Caf Super Cup itachezwa September 15,2023 Saudi Arabia na hapa bingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Al Ahly atamualika Bingwa wa kombe la Shirikisho Afrika USM Alger
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.