Timu ya Brighton & Hove Albion inaingia kwenye rekodi ya kuwa miongoni mwa timu zilizofunga magoli katika mechi nyingi za ligi kuu ya England.

Mpaka sasa klabu ya Brighton & Hove Albion imefunga magoli katika mechi 24 mfululizo kwenye ligi kuu ya England.



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement