Mataifa ya Uruguay, Argentina na Paraguai yatakua mwenyeji wa michezo 3 ya kwanza kuadhimisha miaka 100 ya Kombe la Dunia.

Morocco, Ureno, Uhispania, Argentina, Uruguay na Paraguay zitafuzu moja kwa moja kwenye Kombe la Dunia.

Itakuwa mashindano ya kwanza kuwahi kuchezwa katika mabara mengi zaidi tangu kombe hili la heshima na kubwa zaidi kuanzishwa Ulimwenguni.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement