Siku ya leo Mshambuliaji Jude Bellingham wa Klabu ya Real Madrid atakuwa kwenye usiku wa Ballon d’Or  na atatangazwa kama mshindi wa tuzo ya mwaka ya talanta yani 𝐊𝐨𝐩𝐚 𝐓𝐫𝐨𝐩𝐑𝐑

Bellingham atazawadiwa kama mshindi wa Tuzo ya Talanta Bora ya mwaka ambayo hutolewa na FIFA

Pia anatarajiwa kushinda Tuzo ya Golden Boy mwezi Disemba kama Kipaji Bora duniani mwaka huu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement