Bao la jioni kabisaa Francisco Conceicao limeipatia Ureno alama zote tatu katika dimba la Red Bull Arena (Leipzig) dhidi ya Jamhuri ya Czech.

Ureno 🇵🇹 2-1🇨🇿 Czech Republic
âš½ Hranac (og) 69'
âš½ Conceicao 90+2'
âš½ Provod 62'

Ni katika mchezo wa mwisho wa raundi ya kwanza wa makundi ya EURO 2024.

MSIMAMO KUNDI F

🇹🇷 Uturuki — Pts 3
🇵🇹 Ureno — Pts 3
🇨🇿 Czech — 0
🇬🇪 Georgia — 0

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement