Klabu ya Aston Villa imefanikiwa kunasa saini ya beki wa Kati raia wa Hispania Pau Torres ambaye alikua anahudumu katika klabu ya Villa Real. 

Klabu ya Aston Villa iliweka mezani kiasi cha €32.5m kama gharama ya Usajili na nyongeza ya €5m na kiasi hicho cha fedha kimepokelewa na klabu ya Villa Real. 

Paul Torres amesaini kandarasi ya miaka 5 ya kuhudumu ndani ya klabu ya Aston Villam


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement