ARSENAL INAMTAKA OLLIE WATKINS KUTOKA ASTON VILLA
Mshambuliaji wa Aston Villa Ollie Watkins ni chaguo la kwanza la kocha wa Arsenal Arteta kuelekea dirisha la mwezi Januari .
Arteta anafikiria kumsajili ili kuwa na machaguo mengi kulingana na mashindano ambayo wanashiriki kwa msimu huu