Amara Diouf Mchezaji Mwenye Umri Mdogo Kuhudumu Senegal
Mchezaji Amara Diouf ameingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kucheza katika timu ya taifa ya Senegal.
Amara Diouf amehudumu katika timu ya taifa ya Senegal akiwa na umri wa miaka 15 na siku 94 pekee.
Amara Diouf aliingia uwanjani dakika ya 71 kwenye mchezo kati ya Senegal dhidi ya Rwanda.