Klabu ya Ajax imeachana na kocha wao mkuu Maurice Steijn baada kutokua na muendelezo mzuri wa kusaka alama katika mechi walizocheza.

Klabu ya Ajax inashika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uholanzi.

Maurice Steijn amehudumu kwa miezi 4 pakee katika klabu ya Ajax licha ya kusaini kandarasi ya kuinoa timu hiyo kwa miaka 3.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement