Mchezaji nyota wa Kikosi cha zamani cha Taifa Stars, Yanga, Azam pamoja na klabu ya Simba - Amri Kiemba akitabiri jinsi matokeo ya leo yatakavyokua kwenye mchezo utakaopigwa Highland Estate huko MBARALI 

Kiemba anasema huu unaweza kuwa Mchezo Mgumu kwa sababu, Moja Yanga itataka kulipa kisasi na huenda Ihefu akawa imara kuweka ulinzi wa kutosha na kumsumbua sana kwenye mchezo wake

Lakini pia unaweza ukawa mchezo mgumu kwa klabu ya Ihefu ambao wao wanaamini wanaiweza zaidi Yanga wakiwa kwenye uwanja wao wa Nyumbani


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement