Tazama jinsi Mashabiki wa klabu ya Yanga wakitamba kuifunga goli nyingi sana klabu ya Ihefu siku ya leo kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Highland Estate - MBARALI 


Hii inatazamiwa kuwa mechi ya kisasi kwa kuwa Yanga Rekodi yake ya Unbeaten msimu uliopita ilivunjwa na klabu ya Ihefu


Usiache Kutazama #Tv3Tanzania Kila siku kwa habari mbalimbali za Michezo Tanzania na Duniani Katika kisimbuzi cha Startimes - CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement