Washindi wa pili wa kombe la shirikisho barani Afrika 2022-2023 klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya klabu bingwa Barani Afrika kwa kuwafunga Asas mabao 5 na kufanya jumla ya mabao 7 baada ya mchezo wa awali Yanga kushinda mabao 2




You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement