Timu ya Singida Fountain Gate imeanza vyema mchezo wao wa kwanza wa kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika kwa kuinguka timu ya Future 1-0 katika uwanja wa Azam Complex,Chamazi. Bao pekee la Elvis Rupia lilitosha kuwapa ushindi Singida katika mchezo wa raundi ya kwana. Singida watahitaji sare ya aina yoyote watakapokwenda nchini Misri katika mechi ya marudiano.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement