Klabu ya Simba SC imeanza kwa sare katika michuano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya Power Dymanos ya Zambia,katika mchezo huo Clatous Chama amekuwa muokozi kwa kusawazisha dakika za lala salama. Ssa Simba watahitaji sare ya bila magoli au ushindi ili waweze kwenda hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement