Simba Mabingwa Ngao Ya Jamii
Klabu Ya Simba Imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ngao ya jamii baada ya kuwafunga Yanga kwa mikwaju ya penati. Mchezo huo ulichezwa mkoani Tanga katika uwanja wa mkwakwani ulimalizika kwa sare ya bila kufunga na kwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penati ambapo Simba waliibuka kidedea.
Kumalizika kwa mchezo huu umefungua rasmi ligi kuu bara kwa msimu wa 2023-2024