Klabu ya Manchester City wameondoka na alama 3 muhimu kutoka kwa Nottingham Forest kwa ushindi wa 2-0 wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Etihad, Kwa matokeo ya Man City wamefikisha alama 18 na kuwafanya kuzidi kuongoza ligi kuu ya Uingereza kwa tofauti ya alama 5

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement