Twiga Stars imepondpolewa kwenye michuano ya WAFCON2024 inayoendelea kutimua vumbi nchini Morocco baada ya kupoteza kwa bao 4-1 dhidi ya Ghana ukiwa ni mchezo wa mwisho hatua ya nmakundi.
Wekundu wa msimbazi, Simba hatimae imemaliza mashindano ya kombe la shirikishi Africa 2024/2025 ilio dhaminiwa na kuletwa kwetu na wadhamini wakuu Totall Energies CAF confederation cup, ziko hapa sababu za simba kushindwa kupindua meza...