Ligi kuu nchini uingereza imeanza kutimua vumbi na siku ya leo klabu ya Everton walikuwa wenyeji wa Fulham na kukubali kipigo cha goli moja. Alikuwa Bobby aliyeweza kuipatia bao Fulham dakika ya 73.
Twiga Stars imepondpolewa kwenye michuano ya WAFCON2024 inayoendelea kutimua vumbi nchini Morocco baada ya kupoteza kwa bao 4-1 dhidi ya Ghana ukiwa ni mchezo wa mwisho hatua ya nmakundi.
Wekundu wa msimbazi, Simba hatimae imemaliza mashindano ya kombe la shirikishi Africa 2024/2025 ilio dhaminiwa na kuletwa kwetu na wadhamini wakuu Totall Energies CAF confederation cup, ziko hapa sababu za simba kushindwa kupindua meza...