Ligi daraja la kwanza (NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE) imeendelea leo kwa Biashara United dhidi ya TMA FC katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,katika mchezo huo uliomaliza kwa Biashara United kukubali kichapo cha goli moja kutoka TMA FC kwa goli pekee lililofungwa na CHITEMBE,kwa matokeo hayo TMA wanakuwa wamejikusanyia alama 4 katika msimamo wa ligi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement