VIDEO : TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA KUWAFUNGA AL AHLY
Tazama Video Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Simba kuhusu kuwafunga mara ya 3 klabu ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ufunguzi wa michuano mipya ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Nyota mbalimbali wa Liverpool pamoja na wengine wa timu ya Taifa ya Ureno wameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza mapema hii leo katika mazishi ya Diogo Jota ambaye juzi, Alhamisi kwa ajali ya gari iliyotokea nchini Hispania.