Baadhi ya mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi SIMBA Wanaosema leo wanahakikisha IHEFU hawezi kuchomoka na Ushindi kwa Mkapa
Nyota mbalimbali wa Liverpool pamoja na wengine wa timu ya Taifa ya Ureno wameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza mapema hii leo katika mazishi ya Diogo Jota ambaye juzi, Alhamisi kwa ajali ya gari iliyotokea nchini Hispania.
Afisa Habari wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza amezungumza sambamba na kuwashukuru mashabiki
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.