Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kimeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sudan, utakaochezwa Saudi Arabia.TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MAZOEZI HAPA
Nyota mbalimbali wa Liverpool pamoja na wengine wa timu ya Taifa ya Ureno wameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza mapema hii leo katika mazishi ya Diogo Jota ambaye juzi, Alhamisi kwa ajali ya gari iliyotokea nchini Hispania.
Afisa Habari wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza amezungumza sambamba na kuwashukuru mashabiki
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.