MASHABIKI WA YANGA WAENDA KWA MKAPA KUISHABIKIA SIMBA
Hawa ni Baadhi ya Mashabiki wa Klabu ya YANGA Ambao leo wameenda kwa Mkapa kuipa nguvu klabu ya wekundu wa msimbazi SIMBA kwenye ufunguzi wa michuano ya AFRICAN FOOTBAL LEAGUE (AFL)
Nyota mbalimbali wa Liverpool pamoja na wengine wa timu ya Taifa ya Ureno wameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza mapema hii leo katika mazishi ya Diogo Jota ambaye juzi, Alhamisi kwa ajali ya gari iliyotokea nchini Hispania.