MASHABIKI WA SIMBA WAKITAMBA KUIFUNGA AL AHLY 3 KWA MKAPA
Baadhi ya mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi SIMBA Wanaosema leo wanahakikisha Muarabu hawezi kuchomoka na Ushindi kwenye michuano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Nyota mbalimbali wa Liverpool pamoja na wengine wa timu ya Taifa ya Ureno wameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza mapema hii leo katika mazishi ya Diogo Jota ambaye juzi, Alhamisi kwa ajali ya gari iliyotokea nchini Hispania.