JEZI MPYA ZA SIMBA ZILIZOZINDULIWA HIZI HAPA
Huu ndio Muonekano Rasmi wa Jezi mpya ambazo wekundu wa Msimbazi SIMBA Wamezindua leo hii
Jezi Hizi ni Maalum kwa ajili ya michuano ya African Football League na zitaanza rasmi kutumika kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Al Ahly
Unatoa Maksi Ngapi kwa Jezi Hizi ?