Wakati huo huo, Kocha David Ouma na Kocha Moussa N’Daw watakuwa Makocha Wasaidizi.Mabadiliko haya katika Benchi la Ufundi yamefanywa na Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.

Singida Black Star, imefikia makubaliano na kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja, kocha Miguel Gamondi, kuitumikia klabu hiyo.

Sasa benchi la ufundi la Singida litaongozwa na Gamondi, huku wasaidizi wake wakiwa ni Moussa N'Daw na David Ouma. 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka klabuni hapo, mabadiliko hayo yamefanywa na Bodi ya Wakurugenzi kuelekea msimu wa mashindano wa 2025/26.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement