Baada ya Grealish kuondoka, McAtee na Savinho pia wanaweza kuondoka muda si mrefu. City wanamwona Rodrygo kama mchezaji wa ndoto zao, huku kocha Guardiola akiwa shabiki mkubwa wake.


Real Madrid wapo tayari kumruhusu aondoke iwapo Rodrygo atataka kuondoka, japokuwa kwa sasa ana furaha kuendelea kuwa Madrid na anahisi ugumu kuaga.


 Real Madrid wangehitaji takribani euro milioni 100 (€100m) ili kumuuza Rodrygo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement