MAGOLI 3 BORA MZUNGUKO WA 4 NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE 2023/2024
Goli la 3 Lilifungwa na : ⚽ Revocatus Aniset wa BIASHARA UNITED dhidhi ya PAMBA JIJI FC
Goli la 2 Lilifungwa na :
⚽ Eliud Ambokile wa MBEYA CITY dhidi ya RUVU SHOOTING
Goli la 1 Lilifungwa na :
⚽ Kelvin Raphael wa PAN AFRICAN dhidi ya TMA STARS FC