KENEDDY MSONDA AMEJIUNGA NA KLABU YA HAPOEL NCHINI ISRAEL
Msonda ilipofika Januari 2023 alijiunga na Young Africans SC ya Tanzania, akisaidia kushinda mataji 3 ya ligi, kombe 3 za nchi, na kuwa wavuajaji bora kwa jumla ya mabao 34 na pasi 13 kwa msimu 2023‑25, Mkataba wake na Yanga umekwisha mwishoni mwa Juni 2025, huku habari zikaashiria kuondoka kwa mshambuliaji huyo naklabu zilizomtaka, zilikuwemo Al Ittihad (Libya) na TP Mazembe.
Mshambuliaji huyo wa zambia aliichezea Yanga SC kwa misimu miwili na nusu tangu alipojiunga clabuni hapo mwaka 2023. Sasa amejiunga na vigogo wa chini Israel klabu maarufu yenye kikosicha wa chezaji wenye uwezo mkubwa na uwongozi thabiti hapa naizungumzia klabu ya Hapoel Ramât Gun Givatiyim nchini Israel.



