Pep amekuwa akimuweka Rodrygo kwenye orodha yake ya wachezaji anaowataka katika miaka ya karibuni akiwa Man City… na hali hiyo inaendelea hadi sasa.


Iwapo Tottenham na Man City watakubaliana kuhusu dili la Savinho, Rodrygo atakuwa mchezaji wa kipaumbele namba moja kwa Manchester City.


 Real Madrid wanataka €100 milioni kama bei ya awali… na Rodrygo anapenda klabu hiyo, hivyo haitakuwa uamuzi rahisi hatimaye.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement