Kipa wa Japan Zion Suzuki: anatamani kwenda kuhudumu katika ligi ya England na amethibitisha kupokea ofa kutoka katika klabu ya Manchester United.

Kipa wa Japan Zion Suzuki 🗣 â€œNdoto yangu ni kucheza Ligi Kuu ya England"

"Ni kweli nimepokea ofa kutoka kwa Manchester United, lakini United wamemnunua Andre Onana msimu huu, hivyo nataka kujiweka katika kiwango ambacho naweza kucheza".

Hata kama siwezi kwenda huko [Ligi Kuu ya England ] sasa, bila shaka nataka kwenda huko baada ya miaka michache. Ili kuendelea hatua kwa hatua, niliamua kuhamia Ubelgiji."- Kipa wa Japan Zion Suzuki

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement