Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi wiki ya wananchi ambayo inafanyika kila mwaka ambapo kwa mwaka huu kilele cha wiki ya wananchi itakuwa ni tarehe 22.07.2023 katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Dar es salaam.

Klabu ya Yanga SC wanaitumia siku hii kuweza kuwatamburisha wachezaji wao wote ambao watatumika kwa msimu mpya,siku hii huwa inaambatana na burudani mbalimbali ikiwemo wasanii kutoa burudani kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani siku hiyo. Kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram Yanga wameitangaza siku ya wananchi kwa mwaka huu ambapo kilele chake kitakuwa tarehe 22.07.2023 siku ya jumapili.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement